Thursday, October 19, 2017

MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA ILEJE ATEMBELEA KILWA

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Christopher Ngubiagai kulia akisalimiana na mkurugezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe, Haji Mnasi, mara baada ya Mkurugenzi huyo kufika ofisini kwake jana kwaajili ya kumsalimu kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi Zabron Bugingo (Picha na Pamela Mollel Kilwa).
Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Christopher Ngubiagai kulia akisalimiana na mkurugezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Zablon Bugingo katikati ni mkurugezi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu