Msanii chipukizi kwenye muziki wa Bongo fleva, Vicent Petro ambaye kwa jina la sanaa anatambulika kama ‘Nivo’ aliyewahi kuachia ngoma yake moja ambayo inaitwa ‘Idea’ amefungukia yake kutoka moyoni kuhusu wasanii Wachanga, kutokana na jinsi ambavyo huwawanakosea mashariti katika Muziki ikiwa ni pamoja na utovu wa nidhamu.

Nivo akiwa kwenye interview Super News TV katika kipindi kizuri cha ‘New Talents Tanzania’ kinacho wapa fursa wasanii wachanga kuonyesha uwezo wa vipaji vyao, Nivo alifafanua pia baadhi ya mambo yanayo wakabili wasanii wachanga kiasi kwamba Muziki wao unashindwa kukua na kuweza kutimiza malengo yao. Tumia dakika zako kadhaa kutazama Mahojiano yake hapa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: