Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafuno Azal Tholaya iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es Salaam.
Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafuno Azal Tholaya iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi na waakilishi wa QNET baada ya hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za QNET iliyofanyika ofisi za QNET mjini Dar es laam wakiwemo mwakilishi wa QNET- Tanzania, Benjamin Mariki, mkurugenzi, Frontline Porter Novelli, Helen Kiwia, watoa mafunzo ya bidhaa za QNET, Azal Tholaya na sunny Shaper.
Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafunzo Sunny Shaper iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es Salaam.
Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza watoa mafunzo Sunny Shaper na Muqtadir Suwani iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: