Tuesday, October 17, 2017

RC RUVUMA APOKEA TAARIFA YA KAMATI YA KUCHUNGUZA MIGOGORO YA ARIDHI

Kamati ya kuchunguza migogoro ya ardhi iliyoundwa na ofisi ya katibu tawala mkoa wa Ruvuma imekabidhi ripoti hiyo kupitia Mwenyekiti wa kamati, ambaye pia ni katibu tawala wilaya ya songea, PENDO NDUMBARO amekabizi taarifa hiyo kwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma dkt Bilinith mahenge, baada ya kufanya kazi kwa miezi mitatu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu