Thursday, October 5, 2017

RC SHIGELLA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA 47 LA WAFANYAKAZI WA TANESCO NCHINI MJINI TANGA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martini Shigella akifungua Baraza kuu la 47 la Wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Tanga kulia ni Katibu wa Baraza hilo, Asmaa Myale.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) Dkt Tito Mwinuka akitoa hutuba yake wakati wa ufunguzi huo uliofanyika mjini Tanga.
Mwenyekiti wa Tuico Taifa,Paul Sangeze akizungumza wakati wa Baraza hilo kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco,Dkt Tito Mwinukakatika mkutano huo uliofanyika mjini Tanga.
Katibu wa Baraza Kuu la Wafanyakazi, Asmaa Myale akizungumza katika mkutano huo kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martini Shigella na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Dkt Tito Mwinuka na Mwenyekiti wa wa Tuico Taifa, Paul Sangeze.
Baadhi ya wajumbe wa baraza hilo wakifuatilia kwa umakini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella.
Sehemu ya wajumbe wa mkutano huo wakiufuatilia kwa umakini.
Wajumbe wa mkutano huo wakifuatilia kwa umakini mkutano huo.
Kaimu Meneja Uhusiano wa Tanesco Tanzania,Leila Muhaji wa pili kushoto aliyevaa koti jeusi akichukua baada ya dondoo wakati Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martini Shigella alipofungua Baraza Kuu la 47 la Wafanyakazi wa Tanesco nchini mjini Tanga.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu