Friday, October 20, 2017

SEKTA YA VIWANDA INAHITAJI WAHANDISI WENGI

Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam wa pili kulia akipokea mifuko ya saruji 500 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Saruji ya Simba Cement Benedict Lema katikati ni Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Nje wa Simba Cement, Noor Mtanga.
Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Saruji ya Simba Cement Benedict Lema wa pili kushoto akimkabidhi mifuko ya saruji 500 Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam wa pili kutoka kulia kwa ajili ya ujenzi miundombinu katika sekta ya elimu katikati ni Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya ambaye alimuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Nje wa Simba Cement, Noor Mtanga.
Sehemu ya Saruji iliyokabidhiwa leo.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Nje wa Simba Cement, Noor Mtanga kulia akifafanua jambo kabla makabidhiano hayo leo kushoto ni Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya na Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Simba Cement,Benedict Lema wakimsikiliza meneja huyo wa Uhusiano na Mawasiliano ya Nje.
Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam katikati akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kukabidhiwa Saruji hiyo leo.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga ambaye ni Katibu Tawala Msaidizi Rasilimali watu na Utawala Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya akizungumza na waandishi wa habari kuishukuru kampuni ya Simba Cement mara baada ya kushuhudia makabidhiano hayo kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Nje wa Simba Cement, Noor Mtanga kushoto ni Mwenyekiti wa ALAT Taifa ambaye pia ni Mshtahiki Meya wa Shinyanga, Gulam Hafeez Mukadam,Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Simba Cement Benedict Lema anayefuatia kushoto ni Afisa Mawasiliano wa Simba Cement, Helleni Maleko.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu