Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akizungumza na kuwakaribisha washiriki wa Kongamano la kimatgaifa la Wanawake na Fedha (hawapo pichani) kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Biashara kati ya Mabenki, Bi. Heidi Toribio akishuhudia.
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akinyanyua glasi juu kuashiria uzinduzi wa hafla hiyo pamoja na washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha (hawapo pichani) katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani (kushoto) akizungumza jambo na baadhi ya washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akipongezana na mmoja wa washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.
Burudani ikiendelea katika hafla hiyo.
Washiriki wa Kongamano la kimataifa la Wanawake na Fedha wakibadilishana mawazo kwenye hafla maalum ya 'cocktail' iliyoandaliwa na Benki ya Standard Chartered katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza jambo na Kaimu Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo na Wakati wa NMB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam. Katikati ni mmiliki wa mtandao maarufu wa Josephatlukaza.com, Josephat Lukaza akifuatilia mazungumzo hayo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: