Monday, October 23, 2017

TAMASHA LA TIGO FIESTA 2017 LAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAKAZI WA SUMBAWANGA

Aslay akiwa jukwaani akiburudisha wakazi wa Sumbawanga kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili.
Mashabiki wakiimba pamoja na Aslay.
Msanii Barnaba akiwa jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili.
Benpol akitumbuiza wakazi wa Sumbawanga jukwaani kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili.
Wasanii Chege na Aslay wakiwa jukwaani wakiimba pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili.
Mimi Mars naye aliburudisha maelfu ya wakazi wa Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili katika tamasha la Tigo Fiesta 2017.
Wasanii Roma Mkatoliki na Stamina (ROSTAM) wakiwa jukwaani wakiimba pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia jumapili.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu