Wasanii wa kizazi kipya wa kundi la Rostam wakiwa kwenye staili ya aina yake kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi.
Msanii Ommy Dimpoz akitoa burudani kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi.
Aslay akiimba kwa hisia mapema wiki iliyopita katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017 Mkoani Njombe.
Wasanii Jux, Nandy, Ben Pol na Maua Sama walipanda pamoja na kuimba nyimbo zao mbalimbali kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa sabasaba mjini Njombe usiku wa kuamkia jumamosi.
Mr blue akiwapagawisha wakaziwa mkoa wa Njombe mapema wiki iliyopita.
Chege Chigunda akitumbuiza na madansa wake.
Darasa akiburudisha wakazi wa Mkoa wa Njombe mapema wiki iliyopita.
Squeezer akiburudisha umati wa wakazi wa Njombe waliojitokeza katika Tamasha la Tigo Fiesta wiki iliyopita.
Vanesa Mdee akiwa katika jukwaaa la Tigo Fiesta Mkoani Njombe usiku wa kuamkia jumamosi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: