Msimamizi mkuu wa Tigo Fiesta SupaNyota Nickson George akitangaza walioingia mchujo wa 11 bora.
Majaji wakijadiliana jambo.
Top 6 walioingia kwenye mchujo.
Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 mkoani Rukwa , Ze Battle 16 akifanya yake kwenye steji.
Meneja Biashara na Masoko Tigo nyanda za juu kusini, Oliver Baltazar akishuhudia mshindi wa Tigo fiesta supanyota mkoani Rukwa, Ze Battle 16 akipongezwa na mshindi wa pili, Ambrose mara baada ya kumtangaza mshindi. Kushoto ni Meneja Mauzo Tigo mkoa Rukwa Francis Ndada
Majaji wa Tigo Fiesta Supa Nyota wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi aliyepatikana mkoani Rukwa, Ze Battle 16.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: