Sunday, October 29, 2017

TIGO YACHANGIA KATIKA UKUAJI WA TEKNOLOJIA NA HUDUMA ZA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDANI NCHINI TANZANIA

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari (Kulia) akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam, kushoto ni mkurugenzi wa 361 Degrees Mustafa Hassanali.
Washiriki wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini wakifurahia jambo , ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari (Kulia) akichangia mada wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo yamakampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam, kushoto ni mkurugenzi wa 361 Degrees Mustafa Hassanali.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari akifurahi jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki M, Jacqueline Woiso wakati wa mkutano wa kutangaza matokeo ya makampuni 100 yanayoibukia katika uwekezaji nchini, ambapo zawadi kwa washindi zilitolewa mwishoni wa wiki hii jijini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu