Mhe Jordan Rugimbana Mkuu wa mkoa wa Dodoma akikabidhiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM ) Shaka Hamdu Shaka Taarifa ya  Tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi lilifanyia mkoani Dodoma
Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM )  Shaka Hamdu Shaka ( MNEC ) akitoa Tamko la Vijana wazalendo la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe  Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za  Nchi (picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )
Mhe Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana ajira na Mbunge wa  jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde akizungumza na Vijana wazalendo   katika hafla fupi ya Kukabidhi tamko  la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri anayoifanya  ya kulinda Rasilimali Za Nchi Mjini dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana akizungumza na Vijana wazalendo
mara baada ya  kupokea taarifa ya Tamko la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi nzuri
anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi

baadhi ya mabango yakiwa na ujumbe mbalimbali za kumpongeza Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutokana na kazi
nzuri anayoifanya ya kulinda Rasilimali Za Nchi. ( Picha na Fahadi
Siraji wa UVCCM )
Vijana wakiwa katika burudani.(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM )
Vijana wakiwa katika burudani.(picha na Fahadi Siraji wa UVCCM).
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: