Sunday, October 1, 2017

WASANII WA TIGO FIESTA 2017 WATEMBELEA DUKA LA TIGO TABORA

Msanii Ommy Dimpoz akimkabidhi zawadi mteja wa Tigo mkoani, Elizabeth Mremba mkazi wa Kariakoo Kijiweni mkoani humo. Makabidhiano hayo yalifanyika ofisi za Tigo Tabora baada ya wasanii watakaopanda jukwaa la Tigo Fiesta kutembelea duka hilo mapema wiki iliyopita.
Mfanyakazi wa Tigo, Joyce Maweda akipiga picha 'selfie' na wasanii.
Wasanii wakipiga picha ya pamoja nje ya duka.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu