Wasanii Jux na Mimi wakimkabidhi mteja wa Tigo, Tumaini Mwikanalo zawadi kwenye duka la Tigo jijini Mbeya.
Mtoa huduma akipiga picha 'selfie' na wasanii Dogo Janja na Ben Pol.
Ben Pol akiangalia simu dukani hapo.
Msanii wa bongo fleva STAMINA akipokea simu smartphone aliyonunua kwenye duka la Tigo jijini Mbeya toka kwa mtoa huduma wa Tigo Mohammed Musa jana. Hii ni sehemu ya punguzo litolewalo ndani ya msimu huu wa Tigo Fiesta 2017.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: