Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe, Diana Matimbwa wa Njombe akiimba kwa hisia wakati wa mashindano hayo mwishoni wa juma lililopita.
Mashabiki wakimnyanyua Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe, Tigama Chanika kutoka Makambako
Mshindi wa Tigo Fiesta Supanyota 2017 Njombe, Tigama Chanika kutoka Makambako na Diana Matimbwa wa Njombe wamaeibuka washindi namba moja kati ya wasanii watano walio ingia kwenye mchuano wa kutafuta mshindi na wamefungana kwa viwango vilivyo pelekea wote waingie namba 1 bora Supanyota fiesta 2017 Njombe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: