Friday, October 13, 2017

WATEJA WA TIGO MBEYA WAPATA BIDHAA KWA BEI NAFUU MSIMU WA TIGO FIESTA 2017

Msimamizi msaidizi wa Duka la Tigo mkoani Mbeya, Elifazi Mtwale akitoa huduma kwa wateja waliofika dukani hapo kupata huduma mbalimbali kwa bei nafuu msimu huu wa Tigo Fiesta leo.
Mtoa huduma wa Duka la Tigo mkoani Mbeya, Janeth Rwanga akitoa huduma kwa wateja waliofika dukani hapo kupata huduma mbalimbali kwa bei nafuu msimu huu wa Tigo Fiesta leo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu