Balozi  wa kampuni ya   GSM ,Zarina Hasan , (boss Lady) akiwasili katika uwanja wa nde wa kiamataifa wa Mwalimu JK Nyerere akitokea Africa ya Kusini (Picha zote na John Luhende, mwambawahabari)


BALOZI wa Kampuni ya GSM, Zarina Hassan(Zari) amewasili leo Airport jijini Dar es Salaam akitokea Afrika Kusini kwa lengo la kuzindua duka la Danube.


Duka hilo linalotarajiwa kuzinduliwa kesho Mlimani City litakuwa duka kubwa zaidi lililosheheni fanicha zote na zenye garama nafuu mno kwa wateja wote 
mrembo huyo  pia ni mzazi mwenza wa mwanamziki maarufu hapa nchini Tanzania Naseb Abdul(Diamond Plutnumz)Afisa habari wa Kampuni hiyo,amesema wanafurahi kuwa na Zari katika uzinduzi wa duka hilo kubwa barani Afrika duka ambalo litaleta taswira nyingine kwa wananchi wa hapa nchini pamoja na wale wa nje ya nchi hivyo akatoa wito kwa watanzania wote kujitokeza kwa wingi zaidi siku ya kesho jumamosi 14.10.2017 kuanzia majira ya saa nane  Alasiri


"Ni duka kubwa sana ambalo litakuwa na vitu mbalimbali ambalo halijawahi kupatikana kwa Afrika Mashariki na Afrika nzima, hivyo tunawakaribisha sana,"amesema.

Zari ameonyesha furahayake kwa  kusema kuwa ,anafurahia sana kwa kuwa wanafunya uzinduzi wa duka hilo jipya huku ikiwa ni siku maalumu yenye kumkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius kambarage Nyerere hivyo ni taswira njema zaidi ambayo italipeleka taifa katika mstari wa mbele zaidi 

Balozi  wa kampuni ya   GSM ,Zarina Hasan , (boss Lady) akiwasili katika uwanja wa nde wa kiamataifa wa Mwalimu JK Nyerere akitokea Africa ya Kusini (Picha zote na Johnh Luhende, mwambawahabari)
Zarina Hassan, akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege akitokea Afrika kusini ili kushiriki katika uzinduzi wa duka jipya la Danube lilopo mlimani city.

Zari akiwa pamoja na mlinzi wa Diamondi ,wakielekea katika gari lao tayari kwa kuanza safari kuelekea mjini.


Gari aliyopanda Zari pamoja na wenyeji wake waliofika uwanja wa ndege kwa ajili ya kumlaki  kwa ajili ya shuhuli ya  uzinduzi wa duka jipya la Danube  mlimani City.


Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: