Friday, November 10, 2017

BONDIA IDDI MKWELA AFUNGA NDOA NA ZAWADI MCHARO

Iddi mkwela kushoto akionesha pete yake pamoja na mkewe Zawadi Mcharo.
Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi mkwela kushoto na Mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na kufuatia sherehe kubwa Magomeni.
Bondia IDDI Mkwela akipiga goti wakati wa kufunga ndoa.
picha ya ndugu na jamaaa.
Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa kikundi cha Kahole Sanaa Group.
Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Tea, Maya.
Maharusi Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo wakiwa na wasanii wa Kahole Sanaa Group kushoto ni Tea, Maya.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu