Thursday, November 2, 2017

CCM MKOA WA RUVUMA YATAMBA KUCHUKUA KATA ZOTE KATIKA UCHAGUZI

Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Ruvuma kimepanga kushinda kata zote zinazoshiriki uchaguzi mwaka huu kwa zile zilizokumbwa na matatizo kama vifo na nk hayo yamebainishwa na katibu wa ccm mkoa wa ruvuma B.Amina imbo wakati akimweleza mkuu wa mkoa wa ruvuma b mndeme alipotembelea ofisini kwake.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu