Wednesday, November 29, 2017

JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA GEITA YACHAGUA MWENYEKITI MPYA

Wajumumbe wa Jumuiya ya wazazi wakiwa kwenye mstaari kwaajili ya kupiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa mkoa wa Geita na wajumbe.
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Geita ambaye amemaliza muda wake,Doto Biteko akiwashukuru wajumbe kwa ushirikiano ambao walimpatia wakati wa uongozi wake.
Baadhi ya wagombea kwenye nafasi mbali mbali ndani ya jumuiya hiyo.
Wasimamizi wa uchaguzi wakitambulishwa kabla ya zoezi kuanza.
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akijitambulisha mbele ya wajumbe wa mkutano huo.
Mwenyekiti aliyechaguliwa kwenye jumuiya ya wazazi wa chama cha mapinduzi Mkoani Geita,Bw Lucas Singu Mazinzi akiwashukuru wajumbe ambao wamemchagua.
Msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Katibu wa CCM Mkoa wa Simiyu Donald Magesa akielekeza namna ambavyo wanatakiwa wajumbe kupiga kura.
Daud Katwale Ntinonu akijitambulisha na kuelezea namna ambavyo ameamua kurudi ndani ya chama ca mapinduzi akitokea chama cha CHADEMA.
Katibu wa jumuiya ya wazazi Mkoani Geita, Joseph Mwita akielezea namna ambavyo zoezi la uchaguzi lilivyofanyika(Picha na Joel Maduka).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu