Wednesday, November 29, 2017

MASAUNI AFUNGUA MKUTANO WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA UMOJA WA WAZAZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA DAR ES SALAAM

Katibu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa chama hicho, mkoa wa Dar es Salaam, mkutano huo umefanyika leo, katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam. Picha na Mpigapicha Wetu
Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa Umoja wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi mkoa  wa Dar es Salaam, Angela Kizigha, akizungumza wakati wa Mkutano wa  Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa chama hicho, mkoa wa Dar es  Salaam. Kushoto aliyevaa kofia ni Mgeni Rasmi na Katibu wa Idara ya  Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni. Mkutano huo  umefanyika leo, katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada, jijini Dar es  Salaam.
Katibu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya  Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni  akimkabidhi cheti cha Uongozi , Kiongozi anayemaliza muda wake katika  Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Dar es Salaam, Ibrahim Mpwapwa (kulia), wakati wa mkutano uliofanyika leo,ukumbi wa  Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya  Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni  (kulia), akipiga makofi baada ya kuwasili katika Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa chama hicho,mkoa wa Dar es Salaam,  Mkutano huo umefanyika leo Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa Chama cha
Mapinduzi, mkoa wa Dar es Salaam, wakishangilia wakati Katibu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya  Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani),  akizungumza katika mkutano huo uliofanyika leo, ukumbi wa Hoteli ya  Lamada, jijini Dar es Salaam.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu