Wednesday, November 29, 2017

MATUKIO YA KUAPISHWA RAIS WA JAMHURI YA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA NA MAKAMU WAKE MHE. RUTO


Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta akionyesha hati ya utambulisho mara baada ya kuapishwa kuongoza taifa hilo kwa awamu ya pili. PICHA NA IKULU-KENYA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto akionyesha hati ya utambulisho mara baada ya kuapishwa kuongoza taifa hilo kwa awamu ya pili.

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta akiapa kuiongoza taifa hilo kwa awamu ya pili.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto akiapa kuiongoza taifa hilo kwa awamu ya pili.
Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta akipokea heshima mara baada ya kuapishwa.
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimia na vingozi mbali mbali waliohudhuria sherehe hiyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Ruto akisalimiana na viongozi walihudhuria sherehe hiyo.


Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Rais wa Zambia, Mhe. Edger Lungu.
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta akishangiliwa wakati akitoka uwanjani wa Kisarani jijini Nairobi, Kenya. 

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu