Monday, November 13, 2017

MTWARA WASHEREKEA MSIMU WA TAMASHA LA TIGO FIESTA 2017

Msanii Jux akitoa burudani kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili.
Janjaro akitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili.
Genevieve Mpangala akitumbuiza katika jukwaa la TIgo fiesta mapema usiku wa uamkia jumapili katika viwanja vya
Aslay akiimba na mashabiki zake katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jumapili.
Chege akitumbuiza katika jukwaa la tigo mkoani Mtwara.
Msanii Snura akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema usiku wa kuamkia jumapili.
Lulu diva akiwa katika jukwaa la Tigo fiesta amasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili.
Madee akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara usiku wa kuamkia jumapili.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu