Friday, November 24, 2017

TAMASHA LA TIGO FIESTA 2017 KUFANYIKA NOV 25, 2017 JUMAMOSI JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na wengine ni wasanii.


Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume.
 Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike.
Wasanii Aslay na Rich Mavoko wakisalimiana jna wafanyakazi wa duka la Tigo Mlimani city walipotembelea duka hilo leo mchana.Mkurugenzi mkuu wa Tigo Tanzania Simon Karikari akisalimiana na msanii Vanessa Mdee.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu