Monday, November 6, 2017

TAMASHA LA TIGO FIESTA 2017 LAKUTANISHA MAELFU YA WAKAZI WA MOROGORO NA VITONGOJI VYAKE

Wasanii Ben Pol na Jux wakishirikiana kuimba wimbo wao NAKUCHANA kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Country Boy akiimba na maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Rich Mavoko akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
MimiMars akiimba katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Barnaba akitumbuiza kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
NedyMusic aktumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Nandy akiburudisha wakazi wa Morogoro katika Tamasha la Tigo Fiesta 2017 lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika uwanja wa Jamhuri.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu