Tuesday, November 28, 2017

TIMU YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOANI IRINGA (IMFC) YAINGIA KAMBINI

TIMU ya waandishi wa habari wa mkoani Iringa imeingia kambini kujiwinda na mchezo wa fainal kati ya bingwa wa mashindano ya Spanest cup,mchezo huo utacheza katika uwanja wa Hifadhi ya Ruaha.

Wakizungumza na blog hii viongozi wa timu hiyo walisema wapo tayari kukabiliana na timu ya Itunundu maarufu kama sukari ya warembo.

Timu hii ya waandishi haijawahi kufungwa katika fainali yoyote ile hivyo Itunundu wajipange.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu