Bi. Zainabu Ally Hamisi ( Bint wa mtoto wa mjini) amehitimu masomo yake ya diploma ya uwanahabari katika chuo cha Dar-es-Salaam School of Journalism (DJS) katika maafali yaliyofanyika siku ya jumamosi Disemba 16, 2017, Zainabu Ally Hamisi ni binti wa marehemu Ally Hamisi mchezaji wa zamani timu ya soka ya Kongo United (Shetani wekundu) ya karikoo, jijini Dar. 

Binti huyu alikuwa na kiu ya kuwa mwanahabari tangu akiwa mdogo na atimaye ameitimu kupata diploma ya ndoto yake hiyo. Bi.Zainabu pia alifanya mazoezi ya vitendo kama ripota katika blog ya jamiii ya Michuzi , tunamtakia mafanikio zaidi mwanahabari huyu Zainabu Ally.
Mwanahabari Zainabu Ally Hamisi akiwa katika mapambano ya kazi yake.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: