Sunday, December 17, 2017

MABONDIA KIVU MAWE NA JACOBO MAGANGA WASAINI KUZIPIGA DESEMBA 31, 2017 UWANJA WA TAIFA

Mabondia Kivu Abdi 'Kivu Mawe' kushoto akitunishiana misuli na Jacobo Maganga baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuzipiga Disemba 31, 2017 katika Uwanja wa ndani wa Taifa ambapo utakuwa ni mpambano wa kufunga mwaka na kufungulia mwaka 2017/2018. Picha na SUPER D BOXING NEWS.
Promota Dotto Texas katikati akiwainua mikono juu mabondia Kivu Abdi na Jacobo Maganga wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa Disemba 31, 2017 katika Uwanja wa ndani wa Taifa.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu