Sunday, December 24, 2017

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR APOKELEWA KATIKA UKUMBI WA CCM MKOA WA MJINI AMAAN UNGUJA

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Talib Ali Talib, alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa Chipukizi wa Mkoa wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia ngoma ya kibati wakati wa mapokezi yake yalioandaliwa katika viwanja Afisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mjini Amani, baada ya kuwasili Zanzibar wiki iliopita akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM na kuchaguliwa tena kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi.
WANACHAMA wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa CCM meza kuu wakisimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu