WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa shule ya Msingi  Humekwa,wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh.Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora, ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania
Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Humekwa,wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh.Ummy
amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora, ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania
Elizabeth Arthur wakiangalia  namna Kibuyu Chilizi kinavyosaidia kuepukana na magonjwa ya matumbo,kuhara pamoja na kipindupindu.
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwa ameongoza na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Vumilia
Nyamonga,Mganga Mkuu wa Mkoa hospitali ya Dodoma Dkt James Charles pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur
wakitoka kukagua mazingira ya usafi wa zahanati ya kijiji Humekwa
wilayani Chamwino mapema leo,ambapo Mh.Ummy amekagua usafi wa Mazingira pamoja na vyoo bora,ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya
kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI', ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia
Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza mapema leo mbele ya Wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino mkoani Dodoma,na baadae kujibu kero kadhaa za wananchi huo kuhusiana sekta ya Afya katika kijiji hicho na kufanya ukaguzi wa Usafi wa Mazingira na Vyoo bora ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi. 

Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur,ambao pia ni baadhi ya Wafadhiri wa Mazingira na Usafi katika sehemu
mbalimbali hapa nchini,akiwasalimia baadhi wa wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino,waliofika kwenye mkutano wa hadhara,ambapo mgeni rasmi alikuwa WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe.
Ummy Mwalimu ambaye alifika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya
Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu
Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.Pichani kulia ni Mganga Mkuu hospitali ya Mkoa wa Dodoma Dkt James Charles pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Vumilia Nyamonga.

Mmoja wa Wanafunzi wa shule ya Msingi Humekwa,katika kijiji cha Humekwa wilayani Chamwino akinawa mikono kwa kutumia maji ya kibuyu chilizi
pamoja sabuni mara baada ya kutoka chooni,kuepuka kuambukizwa na magonjwa mbalimbali ikiwemo Kipindupindu.
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Vumilia Nyamonga akimkaribisha WAZIRI
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu kuzungumza na Wananchi na kusikiliza kero zao kuhusiana na sekta ya
afya,ambapo alifanya ukaguzi wa Usafi wa Mazingira na Vyoo bora katika kijiji hicho cha Humekwa,ikiwa ni sehemu ya kuelekea uzinduzi wa awamu
ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh.Samia suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy
Mwalimu akiserebuka na moja ya kikundi cha Ngoma mapema leo,alipowasili katika kijiji cha Humekwa,kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani
Dodoma,alipokwenda kukagua Usafi wa Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu hassan anatarajiwa kuwa mgeni
rasmi.
Baadhi ya wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino,wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa hadhara,ambapo mgeni rasmi alikuwa WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu ambaye amefika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI', ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
Baadhi ya wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino,wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa hadhara,ambapo mgeni rasmi alikuwa WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu ambaye amefika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
Baadhi ya wanakijiji cha Humekwa wilayani Chamwino,wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo wa hadhara, ambapo mgeni rasmi alikuwa WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu ambaye amefika katika kijiji hicho kukagua Usafi wa Mazingira na Vyoo bora kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya Taifa ya usafi wa Mazingira iliyobeba ujumbe wa 'NIPO TAYARI' , ambapo BMakamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia suluhu hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: