Thursday, December 14, 2017

MBUNGE WA JIMBO LA SIHA ATANGAZA KUHAMA CHADEMA, AJIUNGA CCM


Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Chadema, Dr. Godwin Mollel.Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, Dr. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia leo na kujiuzulu Ubunge, amedai anamuunga mkono Rais Magufuli ambaye anapigania rasilimali za nchi yetu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu