Wednesday, December 20, 2017

MPOTO AWAHIMIZA WATANZANIA KUWA WAZALENDO KWA KUTUMIA VYA NYUMBANI

 Msanii wa Muziki wa kughani Kutoka Mjomba Band Mrisho Mpoto akiimba wakati wa uzinduzi wa wimbo nembo mpya ya Shirika la Posta Tanzania Mbali na kuimba mpoto alitumia muda huo kuwaeleza Watanzania juu ya kuwa wazalendo kwa kutumia Barua kama chombo pekee ya kuonyesha tahamani kwa mtu unayempenada na kumjali, Mpoto amesema kuwa apo zamani wahenga walitumia Barua kama chombo pekee cha kuonyesha namna gani mtu anamajali mwenzie hasa nayakati zile wakiwa wanasoma shule za bweni.
 Wasanii wa kundi la Mjomba Band wakitumbuiza wakati wa bendi hiyo ilipokuwa inaimba wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya Shirika la Posta nchini.
 Mpiga Drums Maharufu nchini James Kibosho akikaanga chipsi pamoja na Mjomba Band jijini Dar es Salaam leo.
 Wanamuziki wakicharaza magitaa wakati wa Bendi ya Mrishoi Mpoto ilipokuwa inatumbuiza wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya shirika la Posta nchini.
 Mpiga kinanda Maharufu nchini Erasto Mashine akipiga wakati wa Bendi ya Mrisho Mpoto ilipotumbuiza wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya Shirika la Posta.
Msanii wa Muziki wa kughani Kutoka Mjomba Band Mrisho Mpoto akiimba na Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu