Sunday, December 10, 2017

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TIZA WA UVCCM MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wageni kutoka vyama rafiki toka nchi mbalimbali baada ya kufungua mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017
u15: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wa meza kuu wakimsikiliza mwanachama mpya Ndg. Alfred Msando akisalimia wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua rasmi mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa mbunge wa Kinondoni na mwanachama mpya Ndg. Maulidi Mtulia baada ya kusalimia wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongea jambo mbele ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi meza kuu wakiimba na kucheza nyimbo za hamasa pamoja na wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo Novemba 10, 2017. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu