Friday, December 1, 2017

NAIBU WAZIRI WA MAJI AMEAMURU KUKAMATWA KWA MKANDARASI WILAYANI TUNDURU

Naibu waziri wa maji na umwagiliaji JUMAA AWESO ameagiza kukamatwa kwa mkanadarasi anayeitwa COSMAS ENGINEERING kwa kushindwa kukamilisha maradi wa maji katika katika kijiji cha MILONDE wilayani TUNDURU mkoani RUVUMA huku akidawa kulipwa kiasi cha shilingi million 500, amri hiyo ameitoa baada ya mkandarasi huyo kukimbilia kusikojulikana naibu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu