Thursday, December 7, 2017

NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO ASITISHA MALIPO YA MKANDARASI SONGEA

Naibu waziri wa maji na umwagiliaji JUMAA AWESO ameitaka mamlaka ya maji safi na taka wilaya ya songea kusitisha malipo ya mkandarasi anayejenge maradi wa maji wa LIULA MATIMIRA kusitisha malipo yake na kama amelipwa basi pesa zirudishwe mara moja.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu