Sunday, December 17, 2017

NEW VIDEO: AZMA FT. GILAD - SHUBILAGA

Wimbo mpya wa Azma Mponda toka Tanzania, akimshirikisha Gilad Millo mwanamuziki kutoka Kenya ambaye hivi karibuni alishinda tuzo mbili za Afrimma.

Shubiliga ni wimbo wa mapenzi, ukimaanisha vumilia, Audio imetengenezwa na Kita the pro/ Alfizoh ambao awali walitengeneza wa wimbo wa Azma feat Belle 9 Astara Vaste.. na video imefanywa na director Mhando Brian toka Kenya.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu