Nyumba zaidi ya 41 zimeharibiwa vibaya kufuatia mvua kubwa iliyonyesha iliyoambatana na upepo mkali na kuharibu miundombinu ya shule ya sekondari matimila wilayani Songea mkoani Ruvuma,

Kufuatia uharibifu huo RUVUMATV imefika katika eneo la maafa kuzungumza na wananchi wa vijiji vya MGAZINI na MPANGURA huku baadhi ya wananchi hao wakistajabu na maafa hayo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: