Tuesday, December 12, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA JUMUIYA WAZAZI LITAKALOJENGWA ILALA, DAR

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Naibu Katibu Mkuu CCM bara Mhe. Philip Mangula na viongozi wengine wakipata maelezo ya ujenzi wa jengo la kitegauchumi la Jumuiya ya Wazazi linalojengwa Ilala Mchikichini jijini Dar es salaam na kampuni ya Elite Consultants kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Tisa wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo Disemba 12, 2017.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu