Sunday, December 10, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AKIANGALIA KIATU KINACHOTENGENEZWA NA KIWANDA CHA MAGEREZA CHA KARANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ubora wa kiatu cha Mrakibu Msaidizi wa Magereza Melkior Komba, Katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Viatu hivyo vimetengenezwa na kiwanda cha Jeshi la Magereza Karanga kilichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu