Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wakati akiwasili kuongoza sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Sehemu ya viongozi na wageni waalikwa wakishuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema Shein kwenye sherehe hizo.
Gwaride lililoundwa na vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017
 Helikopta ikishusha Komandoo kwenye onesho la kupambana na ugaidi, ndege vita zikipita na kikosi cha Pikipiki cha Askari wa usalama barabarani wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017
Vijana wa halaiki wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Jukwaa kuu la viongozi mbalimbali wakati wa serehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwaamkia Mama Maria Nyerere na Mama Fatma Karume wakati wa sherehe za miaka 56 ya Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Tanzania all stars wakiburudisha.
Marais Wastaafu Mhe Benjamin Mkapa na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakiteta jambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Viongozi mbalimbali katika Jukwaa kuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017
Kikosi cha Komandoo wa JWTZ kikitoa heshima mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
Gwaride lililoundwa na vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Desemba 9, 2017.
u88: 

u68 na u99: 
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: