Thursday, December 7, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI DODOMA, KUHUDHURIA MIAKA 56 YA UHURU DESEMBA 9, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Satano Mahenge alipowasili Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Novemba 7, 2017 tayari kwa shuguli mbalimbali za kikazi. PICHA NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu