Friday, December 15, 2017

UNHCR: YAELEZA NAMNA INAVYOFANYA SHUGHULI ZAKE KWA WANA HABARI WALIOTEMBELEA KAMBI ZA NDUTA NA MTEINDEL

 Ofisa wa Masuala ya Maji na Usafi wa Mazingira  kutoka Shirika la  Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR), Nosakhare Boadi akizungumza wakati  wa Mkutano wa kutoa maelezo kwa ufupi kwa Ujumbe wa Waandishi wa Habari watano kutoka Vyombo mbalimbali nchini Tanzania.
 Mtaalamu wa Masuala ya Ukatili wa Kijinsia na Ustawi wa Jamii Kutoka Shirika la kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Rehema Katyega akizungumza na ujumbe wa Waandishi wa Habari waliotembelea Kambi za Nduta na Mtendeli Mkoani Kigoma.
 Sehemu ya Ujumbe wa Waandishi wa habari waliotembelea Kambi za Wakimbizi za Mtendeli na Nduta Mkoani Kigoma kujionea shughuli zinazotekelezwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) pamoja na Wadau mbalimbali . Wafanyakazi wa  Ofisi ndogo ya Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Wakimbizi Duniani(UNHCR) Kibondo mkoani Kigoma  wakifatilia kwa karibu mkutano wa maelezo  mafupi juu utekelezaji wa shughuli  mbalimbali za shirika hilo katika kambi za Wakimbizi  za Nduta na Mtendeli.
Sehemu ya  Wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) wakiwa katika mkutano huo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu