Monday, December 25, 2017

WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI ASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMAS KWA STAILI YA NAMNA YAKE

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishiriki kusafisha shamba lake la mpunga lililoko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro alipokuwa kwenye wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishirikiana na wafanyakazi wake kusafisha shamba lake liliko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya kupanda mpunga leo wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas.
Moja ya matrekta yaliyoko katika shamba la Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina yakiendelea na shughuli za kulima kwa ajili ya maandalizi ya kupanda mpunga wakati Waziri huyo (hayupo pichani) alipokwenda kushiriki shughuli za shamba wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo. (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu