Kushoto ni Mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akikabidhiana mkataba mpya wa ushirikiano(MoU) na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mara baada ya kutiliana saini kati ya chuo cha uhasibu Arusha na chuo cha unadhimu Duluti.

Kushoto ni mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akitiliana saini na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mkataba mpya wa ushirikiano (MoU) kati ya chuo cha uhasibu Arusha na chuo cha unadhimu Duluti. Anayeshuhudiana wa kwanza kulia kwa upande wa chuo cha uhasibu Arusha ni Denson Ndiyemalila,upande wa kushoto ni shuhuda ni Emmanuel Nyivambe kutoka chuo cha Unadhimu Duluti.zoezi hilo lilifanyika katika chuo cha Uhasibu juzi jijini Arusha (Habari Picha na Pamela Mollel).
Picha ya pamoja ya kumbukumbu mara baada utilianaji saini huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: