Kamishna Mkuu wa zamani wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Faithjoy Mwasalla (kushoto), akikabidhi msaada wa sare na fulana kwa chama hicho katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya chama hicho, Dar es Salaam. Kutoka kulia ni; Girl Guides Asha Ramadhan, Rhoda Idd, Mariam Nuru, Salma China, Kiongozi wa Girl Guides, Rehema Kijazi, Kiongoizi wa Girl Guides Temeke, Leonida Komba na Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.
Girl Guides wakimshukuru Mwasalla kwa kuwapatia msaada huo.
Mwasalla akipongezwa na Kiongozi wa Girl Guides Temeke, Leonida Komba.
Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akizungumza na Guides wakati wa hafla hiyo.
Mwasalla akionesha moja ya sare hizo .
Girl Guides wakibeba msaada huo.
Girl Guides wakiwa wamevaa baadhi ya sare walizopewa msaada.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: