Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira akimkabidhi Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Hamis Issah vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta kwa ajili ya ofisi za jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Hamis Issah akikabidhi vifaa hivyo kwa Wakuu wa Polisi wa wilaya mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi ,Hamis Issa akiumuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira alipowasili katika uwanja wa mazoezi wa kikosi cha Kutuliza Ghasia kwa ajili ya sughuli ya kukabidhi maada wa vifaa vya mawasiliano ya Kmpyuta kwa jeshi hilo.
Gwaride la Heshima lililoandaliwa kwa ajili ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro alipowasili katika viwanja hivyo kutoa msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaroo,Anna Mghwira akipokea Salamu ya Heshima mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akiongozwa na Mkuu wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia mkoa wa Kilimanjaro,Edson Mwalutende kukagua Gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Hamis Issah akimuongoza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira mara baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi .kulia ni Afisa Mnadhimu wa jeshi la Polisi daraja la kwanza ,Kamishna Mwandamizi Msaidizi ,Koka Moita.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akisalimiana na Maofisa wa Jeshi la Polisi wa ngazi mbalimbali za vyeo kabla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya Mawasiliano ya Kompyuta.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: