Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo,Henry Kinabo akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini ,Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo ilianza Desemba 1,mwaka jana ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 300 zimetolewa kwa washindi.
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo,Henry Kinabo akimkabidhi mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Mil 2 mshindi wa kwanza wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini ,Hassan Kusaga ,Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo ilianza Desemba 1,mwaka jana ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 300 zimetolewa kwa washindi.
Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya Mawasiliano ya simu za Mkononi ya Tigo,Henry Kinabo akimkabidhi mfano wa Hundi ya kiasi cha Sh Mil 1 mshindi wa Pili wa Promosheni ya Wakala wa Tigo kwa kanda ya Kaskazini ,Mwakilishi wa kampuni ya Real Statonary, Promosheni hiyo iliyowashindanisha Mawakala wote wa mtandao wa Tigo ilianza Desemba 1, 2017 ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 300 zimetolewa kwa washindi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: