Wednesday, January 10, 2018

NAIBU SPIKA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD )KUJIONEA SHUGHULI ZAKE

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bwana Laurean Bwanakunu, akimkaribisha na Naibu Spika, Tulia Akson baada ya kumaliza ziara hiyo ya kikazi.
Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) Bwana Laurean Bwanakunu, akizungumza na Naibu Spika, Tulia Akson alipofanya ziara ya kikazi ya siku moja kutembelea MSD kuona shughuli mbalimbali za uhifadhi dawa na Vifaa tiba jijini Dar es Salaam jana.
Hapa Naibu Spika, Tulia Akson akitembelea ghara la kuhifadhi dawa na vifaa tiba.
Naibu Spika akipata maelezo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu