RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mtukufu Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, alipofika katika makazi yake akiwa katika ziara ya kutembelea Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE. Kushoto Viongozi wa Juu wa Serikal
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mtukufu Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi Supreme Council
Member and Ruler of Sharjah, wakielekea katika chumba cha mkutano baada ya kuwasili katika Makazi yake kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Mtukufu Shaikh Sultan Bin Mohammed, Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler of Sharjah, wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika jengo la Makaazi ya Mfalme Sharjah.
MTUKUFU Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika katika makaazi yake Mjini Sharjah,wakati wa ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za Mafme za Kiarabu UAE
Ujumbe walioongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu UAE.
Viongozi wa Juu wa Serikali ya Mfalme wa Sharjah wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Shaikh Sultani Bin Mohammed wakitoka katika ukumbi wa mkutano
baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi yake Nchini Sharjah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mwenyeji wake Mtukufu Shaikh Sultani Bin Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Nchini Sharjah.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: