Tuesday, January 9, 2018

TOBOA NA MACTEMBA 2018: KWANI LAZIMA VIBANDA VYA WAUZA NYAMA YA UTUMBO VIWE VICHAFU???

Hivi kwanini Vibanda vya kuuza nyama ya utumbo ni lazima viwe vichafu na vibaya??? While the demand is so high na ina wateja wengi sana mimi pia nikiwa mmoja wao.

Kijana mmoja akiamua kuwa na butcher ndogo za kisasa za kuuza utumbo with hygiene na kuzingatia modern marketing promotions lazima atatoboa na kupata ufanisi... Maana atakuwa wa kwanza kubadili upepo wa biashara hiyo... Sio lazima uwe na butcher kubwa, Hapana hebu pata eneo dogo ila uwaaminishe wateja kuwa wanaweza kupata utumbo huo kwenye sehemu safi na salama.

#ToboanaMacTembain2018
#AchakulalamikaFanyaKazi
#PataIdeazamiradi
#tzabusinessconnectFounder

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu